WorryFree Computers   »   [go: up one dir, main page]

Google Classroom

2.5
Maoni 2.03M
100M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Darasani hurahisisha wanafunzi na wakufunzi kuunganishwa—ndani na nje ya shule. Darasani huokoa muda na karatasi, na hurahisisha kuunda madarasa, kusambaza kazi, kuwasiliana na kujipanga.

Kuna faida nyingi za kutumia Darasa:
• Rahisi kusanidi - Walimu wanaweza kuongeza wanafunzi moja kwa moja au kushiriki msimbo na darasa lao ili wajiunge. Inachukua dakika chache kusanidi.
• Huokoa muda - Mtiririko rahisi wa kazi wa mgawo usio na karatasi huruhusu walimu kuunda, kukagua na kutia alama kazini haraka, yote katika sehemu moja.
• Huboresha mpangilio - Wanafunzi wanaweza kuona kazi zao zote kwenye ukurasa wa kazi, na nyenzo zote za darasa (k.m., hati, picha na video) huwekwa kiotomatiki kwenye folda katika Hifadhi ya Google.
• Huboresha mawasiliano - Darasani huwaruhusu walimu kutuma matangazo na kuanzisha mijadala ya darasani papo hapo. Wanafunzi wanaweza kushiriki nyenzo wao kwa wao au kutoa majibu kwa maswali kwenye mkondo.
• Salama - Kama huduma zingine za Google Workspace for Education, Google Workspace for Education, haina matangazo, haitumii maudhui yako au data ya mwanafunzi kamwe kwa madhumuni ya kutangaza.


Notisi ya Ruhusa:
Kamera: Inahitajika ili kumruhusu mtumiaji kupiga picha au video na kuzituma kwenye Google Darasani.
Hifadhi: Inahitajika ili kumruhusu mtumiaji kuambatisha picha, video na faili za ndani kwenye Google Darasani. Inahitajika pia kuwezesha usaidizi wa nje ya mtandao.
Akaunti: Inahitajika ili kumruhusu mtumiaji kuchagua akaunti atakayotumia kwenye huduma ya Google Darasani.
Ilisasishwa tarehe
3 Jun 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine9
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play
Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

2.4
Maoni 1.91M

Mapya

* Bug fixes and performance improvements